-141
-4
-59
-20
Mjumbe wa Mabadiliko ya Amani. Uchafuzi Tanganyika Mwiko. 29 Oct 2025 Siku ya Usafi wa Mazingira
” Wala hamfikiri ya kwamba yafaa mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, wala lisiangamie taifa zima “
Samia, epushe nchi na janga
Samia, Jiuzulu. Genge la wahuni hapana. Tanganyika ni ya amani na UTU
Samia, waza – utaalikwa wapi ?
Samia, tafakari – utapumzika wapi ?
Samia, fungua macho
Samia, fungua masikio
Samia, maji yameishamwagika
Samia, hawa wote walipita: Mussolini Apr, 1945; Hitler Apr, 1945; Stalin Mar, 1953; Gaddafi Oct, 2011; Saddam Dec, 2006; Mobutu Sep, 1997; Mubarak Feb, 2020; Ceaușescu Dec, 1989; Amin Dada Aug, 2003. Nawe pia utapita
Ukiona mwenzio ananyolewa, Wewe tia maji. 12 Jan 2026.